LINEX: THE WAY NILIVYOKUA NAISHI ILIKUA INAFIKIA POINT WATOTO WA KIKE WANACHOKA MAISHA YANGU YA MTAANI SO WANAAMUA KUNIACHA

akiwa na shemeji yetu "Suvi" kushoto  Kama unakumbuka vizuri, miezi kadhaa iliyopita, baada ya kuandikwa kwenye  magazeti ya udaku kuwa anamsichana mwingine, na yeye kuruka futi mia na kusema bado yupo na mpenzi wake wa kizungu "Suvi" ambae ndio kila kitu kwake, leo hii Linex amethibitisha kuwa mambo yao hakuna anaeweza kuyaingilia..ukimsikiliza kwa makini utagundua kuwa anajiami sana kwa
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment