Mabeste kupumzika mziki kupisha matatizo ya familia yake

Usiku wa kuamkia leo hii (jumatano) kupitia mtandao wa kijamii, Rapper Mabeste aliandika ujumbe mzito uliohusisha mziki wake na matatizo yanayoendelea katika familia yake.
ujumbe huo ambao uliokuwa umeandikwa 
"Ndugu zangu naomba mtaniwia radhi..... nilidhani nitakua sawa tayari kwa kaz za mzik wangu mwaka huu! Lakini imekua tofauti na nilivyo fikiria!!
Hali ya mke wangu imejirudia hali yake c nzuri tena c mtu wa kuachwa peke yake mda wote natakiwa niwe nae karibu hivyo innanilazimu kusimama kazi zangu za mziki kwa sasa mpaka pale Mungu atakapo barikia hali yake kurudi kama zamani...mniwie radhi fans wangu maana najua mlinimiss! Kwa vile najua mnampenda mabeste bas naomba endeleeni ku support USIWE BUBU hapo ndo mtaendelea kumskia mabeste mpaka pale atakapo maliza kipindi hiki kigumu Mungu atakapo penda! Ilikua niachie usiwe bubu video mwez huu wa pili ila haitawezekana tena! Mniwie radhi nawapenda sana!"
msikilize Mabeste akiongelea zaidi juu ya hilo...
 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment