SABABU ZA KIFO CHA GOLDIE

Marehemu Goldie Harvey ambaye alikutwa na mauti jana usiku kwenye mida ya saa tano kuwafanya mashabiki wake kushikwa na simanzi kubwa kuhusiana na taarifa za kifo chake imeelezwa kuwa ugonjwa wa ''Pulmonary Embolism'' ndio uliopelekea kifo chake.
Ugonjwa huo unaosababishwa na kuganda kwa damu, husababisha mshipa mkubwa ambao unasafirisha damu na hewa kwenda kwenye mapafu kuziba na kupelekea binadamu kufariki ghafla.
Goldie
alifariki jana kutokana na ugonjwa huo akiwahishwa hospitali ikiwa ni muda mchache baada ya kuwasili jijini Lagos, Nigeria akitokea Los Angeles, America.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment