SHILOLE AKANA KUTOKA KIMAPENZI NA OMMY DIMPOZ

INASEMEKANA kuwa kimwana anayetesa kwenye filamu na muziki Shilole na Ommy Dimpoz, wapo katika mahusiano ya chini chini na hawataki kuyaweka wazi kwa kuogopa midomo ya watu. Chanzo kilicho karibu na msanii Shilole kilitoa fununu ya ishu hiyo kwa kudai kuwa wasanii hao mara nyingi wamekuwa wakikutana nyakati za usiku na awali kabisa walikuwa kama marafiki lakini kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele ukaribu wao uliongezeka na kuanzisha mahusiano. Mpekuzi huyo alidai kuwa hakuna mtu anayejua wasanii hao kama wana mahusiano, kwani wanafanya siri kwa kuogopa vyombo vya habari na hata wanapotaka kuonana huwa wanatumia...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment