KWETU MO

  • Home
  • Business
    • Fashion
    • Fashion1
    • Fashion2
  • Fashion
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
  • Games
  • Technology
  • Download This Template
Home / NEWS / T.I.D AUPONDA UCHAWI WA DIAMOND

T.I.D AUPONDA UCHAWI WA DIAMOND

Unknown - 10:23 PM NEWS Edit

Mnyama TID amefunguka kuizungumzia ‘indirectly’ scandal inayomzunguka hitmaker wa Kesho, Diamond ya kupata mafanikio kwa kutumimia waganga wa kienyeji.

Kupitia Twitter Top in Dar ambaye jina lake halisi ni Khalid Mohamed alitweet kwa utani akisema, “ I really want to meet a witch doctor who can make me win big brother money ntatoa percentage we go thru a contract,Yupo?!


Tuliamua kumuuliza kama anamaanisha alichokiandika ambapo alijibu, “ am kidin mate I just heard some of them were making foolish artist look big ndo maana I make fool out it.”


Akijibu swali kama anaamini katika uchawi ama kama unaweza kumsaidia msanii asiye na kipaji afanikiwe, TID alisema, “I don’t mean nobody all I know is all this mathaf**z they don’t have talent all they have is witchcravity,huh.”

Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

RELATED POSTS

0 comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments ( Atom )

Popular Posts

  • Wajue washindi wa Tuzo za Grammy 2015
    1. RECORD OF THE YEAR "Stay With Me (Darkchild Version)," Sam Smith 2. ALBUM OF THE YEAR "Morning Phase," Beck 3. ...
  • Chibow Mtoto Wa Pwani ft J King - Nashidwa Sema
  • Tanchy (Tanah & Chibwa) - HOW I FEEL (Official Video)
  • DAX ft. MAUA - SAFARI_(Prod_by_Ommyrunner)
    DAX ft. MAUA - SAFARI_(Prod_by_Ommyrunner)
  • "SITAPOTEZA MUDA WANGU KUMJIBU NIKKI MBISHI...NAWEZA KUMLEA NA AKAISHI VIZURI"...NEY WA MITEGO
    Rapper na hitmaker wa ‘Nasema Nao’ Ney wa Mitego amefunguka kuwa hana mpango wa kumjibu Nikki Mbishi aliyeandika wimbo wa kumdiss uitwa...
  • Waandishi wakamatwa kwa mauaji Nigeria
    Waandishi wawili wa habari nchini Nigeria wamekamatwa kwa mauaji ya wahudumu tisa wa afya waliokuwa wanatoa chanjo dhidi ya Polio mjini K...
  • T.I.D AUPONDA UCHAWI WA DIAMOND
    Mnyama TID amefunguka kuizungumzia ‘indirectly’ scandal inayomzunguka hitmaker wa Kesho, Diamond ya kupata mafanikio kwa kutumimia waganga...
  • 2012
  • 2013 - police Day
  • Rihanna diamonds lyrics
    Shine bright like a diamond Shine bright like a diamond Find light in the beautiful sea I choose to be happy You and I, you and I We...
Copyright © 2016 KWETU MO
Created By Boyskillz Mtanzania