Unaweza kupata huduma nyingi kutoka katika blog yangu pia zile
zinazotokana na ubunifu wangu pasipo kujali umbali au kuofia gharama.
Huduma zinazopatikana ni kama vile;
- Ubunifu wa Tovuti (Website design)
- Utengenezaji wa Mabango (Posters)
- Kadi za Biashara (Business card)
- Makasha ya CD ( CD covers)
- Kubuni Nembo (Logo design)
- Vipeperushi, Calendar, Certificate,Wedding Card, etc.
- Kufungua Blogs pamoja na kuzifanyia ubunifu
- Matangazo ya biashara mbalimbali.
Kwa huduma zaidi pia Mawasiliano zaidi juu ya huduma zangu wasiliana na mimi kupitia mawasiliano ya nayo patikana katika ukurasa wa Mawasiliano Contact wakati wote ninapatikana usiofie kuuliza endapo ujaelewa jambo lolote na mimi nitakufafanulia zaidi.Karibu sana
0 comments:
Post a Comment