Nyoka mkubwa wa majini aina ya "Python" ammeza mamba mkuubwa baada ya
kupambana kwa zaidi ya masaa matano, katika ziwa Moondarra, karibu na
mlima Isa nchini Australia siku ya jumapili.
Kutokana na ripoti za wataalamu, inasemekana kuwa nyoka huyo atakaa bila kula kwa muda wa mwezi mmoja.
0 comments:
Post a Comment