Kanakulya akiwa na mmoja wa watoto zake aliyeokolewa katika janga hilo.(Picha kwa hisani ya newvision.co.ug)
Mtoto
asiye na hatia amefariki dunia baada ya mama yake wa kambo kumfungia
ndani ya nyumba pamoja na ndugu zake watatu wakiwa wamelala kisha
akachoma nyumba moto.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea usiku katika kijiji cha Namuyenje kilichopo katika wilaya ya Mukono.
Mtoto
huyo Shafik Jjuuko mwenye umri wa miaka 6 alifariki kwa kukosa hewa
wakati mama yake wa kambo Margaret Nampiima mwenye umri wa miaka 27
alipochoma moto nyumba waliokuwemo watoto hao huku baba yao ambaye ni
dereva akiwa safarini.
Watoto
...
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment