Chanzo
cha vurugu zilizoanzishwa na madereva bodaboda huko Mtwara - Masasi
zinatajwa kuwa ni tukio la mwenzao aliyekuwa anakimbizwa na Polisi
kudondoka na kuumia vibaya, ikisemekana kuwa imekuwa ni tabia ya muda
mrefu ya Polisi kuwaonea kwa kuwakamata na kuwataka wawapatie kiasi cha
fedha.
Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya inatajwa kuchomwa moto,
Zikiwepo Ofisi za CCM, nyumba mbili za mheshimiwa Anna Abdallah, Nyumba
ya Mbunge Mariam Kasembe pamoja na Mahakama ya Mwanzo wilayani hapo.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment