CEO wa Cash Money alikataliwa kuingia kwenye pre party ya Grammy weekend
hii na story zikazagaa kuwa Minaj anahusika katika kukataliwa kwake kwa
kuwa yeye ndie aliekuwa host wa party hio.
watu wa karibu na Nicki wamesema Bird Man alikataliwa kuingia club
1OAK kwasababu walikwa wakitaka kuagiza huduma za chupa (bottles) na
club ilikuwa inafungwa ndani ya dakika 15.
Licha ya hivyo, inasemekana Nicki alikuwa kashaondoka na mataa ya ndani ya club yalikuwa tayari yameshawashwa.
Nikki na Drake wameamua kujiweka mbali na bifg linaloendelea kati ya
Wayne na Birdman licha ya Wayne kusema ataondoka nao akiondka Cash
Money.
Drake na Nicki wanatamani mabosi wao wamalize tofauti zao kwasababu
inapoelekea ni pabaya..licha y akuwa meli yenyewe ishazama kitambo.
0 comments:
Post a Comment