Ommy Dimpoz aongea yake juu picha za utata alizopiga na Wema Sepetu

Picha za utata kati ya Wema Sepetu na Dimpoz zilizozagaa mitandaoni zingine zikiwaonyesha wakiwa kitandani, Ommy akiwa amelala huku Wema akiwa busy kupiga selfie zimezua mjadala mkubwa baada ya watumiaji wa mitandao hiyo.

Wengi wakidai kuwa huenda ikawa ni picha ya utengenezaji wa video ya Ommy Dimpoz huku wengine wakidai kuna project mpya kati ya wawili hao.
Wakati hayo yote yakiendelea bila kupata majibu kamili, Ommy Dimpoz aongea ya kwake



"Kwasasa sina chochote cha kuongea, zinamaanisha hivyo hivyo kama zilivyo" amesema Dimpoz. licha y akuuulizwa maswali mengi lakini jibu lake limebaki kuwa hivyo hivyo..zaidi msikilize hapa chini..

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment