Usiku
wa kuamkia leo hii (jumatano) kupitia mtandao wa kijamii, Rapper
Mabeste aliandika ujumbe mzito uliohusisha mziki wake na matatizo
yanayoendelea katika familia yake.
ujumbe huo ambao uliokuwa umeandikwa
"Ndugu zangu naomba mtaniwia radhi..... nilidhani nitakua sawa tayari kwa
kaz za mzik wangu mwaka huu! Lakini imekua tofauti na nilivyo
fikiria!!
Hali ya mke wangu imejirudia hali yake c nzuri tena c mtu wa
kuachwa peke yake mda wote natakiwa niwe nae karibu hivyo innanilazimu
kusimama kazi zangu za mziki kwa sasa mpaka pale Mungu atakapo barikia
hali yake kurudi kama zamani...mniwie radhi fans wangu maana najua
mlinimiss! Kwa vile najua mnampenda mabeste bas naomba endeleeni ku support USIWE BUBU hapo ndo mtaendelea kumskia mabeste
mpaka pale atakapo maliza kipindi hiki kigumu Mungu atakapo penda!
Ilikua niachie usiwe bubu video mwez huu wa pili ila haitawezekana tena!
Mniwie radhi nawapenda sana!"
msikilize Mabeste akiongelea zaidi juu ya hilo...
0 comments:
Post a Comment