Ajali hii iliyohusisha magari mawili,Toyota Rav 4 na Toyota Cresta
imetokea usiku wa kuamkia leo katika eneo la jirani na Maktaba
ya mkoa, mjini Iringa,ambapo gari hiyo aina ya RAV 4 iliruka ukingo wa
barabara uliojengwa kwa sementi na kutua juu ya Gari hiyo aina ya
Toyota Cresta (Taxi) na kushindwa kuendelea na safari.inasemekana kuwa
isingesimama gari hiyo aina ya Toyota Cresta,basi dereva wa gari hiyo
aina ya Rav 4 labda angekuwa katika wakati mgumu zaidi au kupoteza
maisha
kabisa. hakuna aliepoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment