Kupitia ukurasa wake wa Facebook muimbaji wa R&B na muigizaji wa
filamu nchini Hemedy Suleiman aka PHD (Pretty Huge Dude) amesema mkubwa
wa Freemason (hajamtaja jina) amekuwa akimshawishi ajiunge na chama
hicho.
“Mkubwa wa freemason ananishawishi nijiunge katka chama hicho ila
nimemuombea dua Mungu amlani ishallah“na hakika mwenye kujiunga na chama
hicho mwisho wake ni kufa napia huenda motoni,” alisema Hemed.
Kama angekufuata kukuomba ushauri ungemwambiaje?
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment