Kwamba kuanzia Bongo Movie hata Bongo Music. Maranyingi katika story tulizopiga nae pia hakuishia kujisifia kuwa ye ni Bonge la Handsome hapa TZ na hakuna anaefika kwa Uzuri na Uvaaji pia.
''Kaka unajua hapa bongo ukianzia katika movie muziki huwezi kumpata kama mimi na ndio maana nikiingia sehemu unajua kabisa nimefika maana watu wote hugeuka kunitizama na hii inatokana na u handsome na jinsi navyonyuka pamba'' alisema hemed.
0 comments:
Post a Comment