LINEX: THE WAY NILIVYOKUA NAISHI ILIKUA INAFIKIA POINT WATOTO WA KIKE WANACHOKA MAISHA YANGU YA MTAANI SO WANAAMUA KUNIACHA
-
akiwa na shemeji yetu "Suvi" kushoto
Kama unakumbuka vizuri, miezi kadhaa iliyopita, baada ya kuandikwa
kwenye magazeti ya udaku kuwa anamsichana mwingine, na yeye kuruka futi
mia na kusema bado yupo na mpenzi wake wa kizungu "Suvi" ambae ndio
kila kitu kwake, leo hii Linex amethibitisha kuwa mambo yao hakuna
anaeweza kuyaingilia..ukimsikiliza kwa makini utagundua kuwa anajiami
sana kwa
0 comments:
Post a Comment