Baada ya msanii Nay wa Mitego Kumchana Niva Kwenye ‘Shika Adabu Yako’ kupitia mtandao wa instagram Niva amefunguka haya;
Alianza kuwa kuandika haya;
“Jioni ya Leo ndio watu watajua. Kama natafuta Kiki kwako au wewe @naytrueboy
umeamua kuipata Kiki kwangu coz ney watu wameanza kukujua 2013… mimi
watu wameanza kunijua tangia elfu mbili na sita kupitia tamthili ya
jumba la dhahabu kipindi hiko wewe upo manzese unatafuta kutoka..
mwenzio nikitajaga tamthili ya jumba la dhahabu uwa nawaumizaga watu
wengi Sana coz uwa nawakumbusha kumbukumbu za maisha Yao ya kipindi icho
wengine wenzao wamesha wazika walio kua wakiangalia nao. Sasa wewe @naytrueboy unakipi cha kuwakumbusha mashabiki zako.”
Kisha akaweka picha akweka picha hiyo hapo juu akiwa na Nay na kuandika;
“Sasa mkitazama iyo picha mtangundua ni wiki ngapi zimepita na hapo
mulizeni alikua wapi na kwanani na alifata nini Tena alikua anajipima
mwili wake na wangu… niliwai kusema kuwa ni mdogo wangu kwaiyo kwangu
yameisha nanimemsamee coz ni mdogo wangu ila kuusu kumuigiza na yeye
kupo pale pale nimesha maliza kutoka moyoni”
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment