JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU YA
KIPOLISI TARIME NA RORYA,LIMEMZAWADIA SOPHIA BANGUYE MKAZI WA SIRARI
WILAYANI TARIME KIASI CHA SHILINGI LAKI 5 BAADA YA KUONYESHA UJASILI WA
KUPAMBANA NA MAJAMBAZI WATATU NA KUFANIKIWA KUWANYANG'ANYA BUNDUKI AINA
YA SMG NA RISASI 27.
SEHEMU YA RISASI AMBAZO MWANAMKE HUYO ALIPAMBANA NA MAJAMBAZI NA KUWANYANG'ANYA PAMOJA NA BUNDUKI AINA YA SMG
HAPA MWANAMKE HUYO AKISAINI HATI YA MALIPO YA SHILINGI LAKI 5 MBELE YA KAMANDA WA POLISI TARIME/RORYA KAMANDA MUSHY
HAPA MWANAMKE HUYO AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Home / Uncategories / HUYU NDIO MWANAMKE ALIEPAMBANA NA MAJAMBAZI WILAYANI TARIME NA KUWANYANG'ANYA BUNDUKI
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment