Na hii ni kauli yake
“Watu au media nyingi zinataka kufanya mahojiano na Lulu,
hakuna anayejua nia ya mtu yoyote kwa sasa. Hataweza kwenda kilam media na
kuzungumza na kila mwandishi, ukizingatia mazingira haliyotoka na umri wake
anahitaji kupumzika sana, lakini ni kwamba tutafanya press conference hivi
karibuni na mambo kadhaa tutayazungumza. Kwasababu mchakato wa kesi haujaisha
kila kitu lazima kiennde kwa utaratibu. Siwezi kukwambia ni siku gani kwasababu
inaitaji arrangement ilitufanye hiyo press conference. Kama tunavyoongea hapa
nitakujulisha lini tunafanya baada ya muda mfupi na watanzania wasome kupitia
hapa.” - Dr Cheni
0 comments:
Post a Comment