HIVI NDIVYO KALAPNINA ALIVYOONESHA USINITCH BAADA YA KUZUSHA LINAH KABAKWA

Linah Sanga amezikanush
ripoti zilizosambazwa leo kuwa amebakwa na rapper Kimbunga na kudai kuwa ameshangazwa mno na taarifa hizo. Taarifa hizo zimeanza kusambazwa leo mchana baada ya akaunti ya Facebook inayoonekana kuwa ya rapper Kalapina yenye jina ‘KalApina Kikosi Cha Mizinga’ kuandika:   “Mtoto kimbunga amechamba ana leta usela mavi mambo ya kizamani hivi yupo chini ya ulinzi osterbay police kwa kosa la kumbaka msanii lina.”   Baada ya Linah kutafutwa kuhusiana na taarifa hizo akafunguka namna hii "Kiukweli sijapenda, yaani bora mtu anizushie kitu kingine chochote lakini si suala kama hilo hapo, si suala zuri,” amesema Linah.   Amesema jana usiku alitoka na mpenzi wake kwenda kwenye sinema na wakarejea nyumbani...
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment