Mtangazaji wa television ya Urusi mwenye asili ya Marekani atangaza kuacha kazi hewani mara baada ya kumaliza habari ya mwisho

Mtangazaji wa habari mwenye asili ya Marekani  " Liz Wahl" anaefanya kazi katika kituo cha Urusi Russian Today (America) ameshangaza wengi mara baada ya kuamua kutangaza kujiuzulu  kazi hiyo live akiwa hewani mara tu baada ya kumaliza kutangaza habari ya mwisho

Liz amewatuhumu waajiri wake (Warusi) kwa kupuuzia vitendo vinavyofanywa na Rais wa Urusi  Vladmir Putin,Crimea na kutangaza live kuacha kazi on air.
 


"sitaweza kuwa mmoja katika mtandao unaofadhiliwa na serikali ya Urusi ambayo inapuuzia matendo ya (Raisi Vladmir) Putin, na kuongeza  " Nina fahari kuwa Mmarekani na naamini katika kusambaza ukweli, na ndio maana baada ya habari hii, ninajiuzulu."
  "could not be part of a network funded by the Russian government that whitewashes the actions of (President Vladimir) Putin," adding "I'm proud to be an American and believe in disseminating the truth, and that is why after this newscast I am resigning."
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment