Video: Imetokea Australia nyoka amla mamba baada ya kupambana kwa zaidi ya masaa matano

Nyoka mkubwa wa majini aina ya "Python" ammeza mamba mkuubwa baada ya kupambana kwa zaidi ya masaa matano, katika ziwa Moondarra, karibu na mlima Isa nchini Australia siku ya jumapili.
Kutokana na ripoti za wataalamu, inasemekana kuwa nyoka huyo atakaa bila kula kwa muda wa mwezi mmoja.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment