Msanii
Suma Lee, anaeiwakilisha Tanga vizuri, leo hii, saa moja lililopita
ameandika kupitia ukurusa wake wa facebook, kuhusu kifo cha baba yake
mzazi anaeiitwa Sadiki Iddi.
"BABA
MZAZI WA ISMAIL AMEFARIKI MZEE SADIKI IDDI . INNA LILLAHI WA INNA
ILAIHI RAJIUUN. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI."
Suma
hajaelezea chochote cha zaidi kama yuko wapi, kafariki kwa ugonjwa gani
na mazishi yatakua wapi...Tumejaribu kumpigia sim hapatikani huku
wengine wakidai yuko nje ya nchi..habariz aidi utazipata hapa, kadri tutakaviyozipata...Mungu ailaze roho ya marehem mahali pema peponi. AMEN
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment