TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI: KAMA UMEGUSWA MCHANGIE MTOTO HUYU AWEZE KUTIBIWA
Mtoto Ombeni Mbeula akiwa na mama yake Kilaudia Kigaila wakiwa hospitali kama umeguswa na hali ya mtoto huyu tafadhari tuma choche kwa njia ya M-Pesa 0757 498336 ili apata matibabu. (PICHA KWA HISANI YA PAMOJAPURE BLOG) DODOMA, Tanzania Nyumba iliungua wakati watoto hao wamekaa ndani na wakati huo huo mama wa mtoto alikuwa amekwenda shambani maeneo ya Chitemo iliyoko wilaya ya mpwapwa. Wakati mvua inanyesha ghafla nyumba ilibomoka na wakati huohuo walikuwa watoto wawili walikuwa jikoni ndani ya hiyo nyumba. Baada ya tukio hilo kutokea ikafanyika uokoaji kwenye nyumba hiyo maeneo ya Chitemo...
0 comments:
Post a Comment