Ile single iliyokuwa ikisubiriwa sana hasa baada ya scandle kadhaa
kutokea kwa Msanii Colonel Mustapha na hasa baada ya wao kujitangaza
kuwa ni wapenzi, leo hii imetoka na exclusive unapata nafasi ya
kuiskiliza hapa.
Kama unakumbuka katika interview niliyoifanya na Mustapha wiki
iliyopita, alisema kuna single ambayo itatoka akiwa amemshirikisha
Huddah aliyoipa jina la Loboko, lakini leo hii ameidondosha single hiyo
hapa Exclusive, lakini sauti ya mwanadada Hudda haiskiki
Baada ya kumvutia waya mpaka alipo 254 Nairobi Kenya, Mustapha amesema
Hudda ameleta shida baada ya kuona picha hii ya Musapha akiwa na msupuu
mwingine.
Usikose kumsikiliza kupitia soso fresh Ijumaa saa nne mpaka saba kamili usiku akifunguka zaidi
0 comments:
Post a Comment