Mtangazaji wa habari mwenye asili ya Marekani " Liz Wahl" anaefanya
kazi katika kituo cha Urusi Russian Today (America) ameshangaza wengi
mara baada ya kuamua kutangaza kujiuzulu kazi hiyo live akiwa hewani
mara tu baada ya kumaliza kutangaza habari ya mwisho
Liz amewatuhumu waajiri wake (Warusi) kwa kupuuzia vitendo vinavyofanywa
na Rais wa Urusi Vladmir Putin,Crimea na kutangaza live kuacha kazi on
air.
"sitaweza kuwa mmoja katika mtandao unaofadhiliwa na serikali ya Urusi
ambayo inapuuzia matendo ya (Raisi Vladmir) Putin, na kuongeza " Nina
fahari kuwa Mmarekani na naamini katika kusambaza ukweli, na ndio maana
baada ya habari hii, ninajiuzulu."
"could not be part of a network funded by the Russian government that
whitewashes the actions of (President Vladimir) Putin," adding "I'm
proud to be an American and believe in disseminating the truth, and that
is why after this newscast I am resigning."
0 comments:
Post a Comment