Rapper Kanye West na Star wa reality show "Keeping up with the
Kardashians" Kim Kardashian wanatarajia kufunga ndoa yao mwezi May
tarehe 24.
Kutokana na mtandao wa Daily mail, ndoa hiyo wataifungia Ufaransa katika mji wa Paris.
Mwezi uliopita Kim alisema kadri siku zinavyozidi kwenda wanaona kabisa
ndoa yao itakuwa ni ndogo sana na wala haitakuwa kubwa kama watu
wanavyofikiria.
Mwezi wa kumi Kanye ali-propose kwa Kim katika sherehe binafsi iliyofanyika AT&T Park, Francisco, California.
0 comments:
Post a Comment