Kinachoonyesha kama ni kuthibitisha kuwa bado anammiliki mwanamziki
mwenye miaka 21 Selena Gomes, Justine Beiber amepost video
inayowaonyesha wakicheza kimahaba kwa ushirikiano sana na wimbo
"Ordinary People" John Legend.
Labda wanajaribu kuonyesha kuwa star hao waliokuwa wapenzi wamefanya
makosa lakini wameamua kusameheana na kushauri dunia pia isamehe kama
aqmbavyo mashairi ya wimbo huo yakisema, ila baada ya mda Bieber
ameonekana kuzi-delete clip hizo baada ya kuziweka muda mfupi.
Haswa inaonekana ni kama Bieber anajaribu kusambanza ujumbe kwa
ma-haters wote wanaochukia kupatana kwao.Bieber na Selena wameonekana
sana wakiwa pamoja hivi karibuni kitu kilichosababisha watu kuanza
kuzusha kuwa wamerudiana.
0 comments:
Post a Comment