Baada ya Stamina kumvutia waya Darasa kwa sababu ya kufanya nae collable
ambapo Darasa aliitika na kuelekea studio za Kiri kwa ajili ya kuingiza
vocal, na kufanikiwa kuingiza vocal zake, Darasa ameshangazwa na uamuzi
uliofikiwa na Stamina wa kumpigia simu asubuhi yake na kumwambia kuwa
amefuta verse zake na hatakuwepo katika ngoma hiyo.
Gossip Cop alipopiga story na Darasa, jamaa alisema sababu alizopewa na
Stamina ni kuwa management yake ndio imekaa na kutoa uamuzi huo, kitu
ambacho kilimfanya ajiuliza hiyo management yake imekaa saa ngapi
kujadili swala hilo.....Msikilize Darasa na Stamina pia hapa chini
wakiwa na Gossip Cop
0 comments:
Post a Comment