mahakama ya mwanzo mtwara

HII NI MAHAKAMA YA MWANZO MKOANI MTWARA IMECHOMWA MOTO KATIKA VURUGU ZINAZOENDELE...MASASI....TANZA
NIA INAELEKEA WAPI
Chanzo cha vurugu zilizoanzishwa na madereva bodaboda huko Mtwara - Masasi zinatajwa kuwa ni tukio la mwenzao aliyekuwa anakimbizwa na Polisi kudondoka na kuumia vibaya, ikisemekana kuwa imekuwa ni tabia ya muda mrefu ya Polisi kuwaonea kwa kuwakamata na kuwataka wawapatie kiasi cha fedha.

Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya inatajwa kuchomwa moto, Zikiwepo Ofisi za CCM, nyumba mbili za mheshimiwa Anna Abdallah, Nyumba ya Mbunge Mariam Kasembe pamoja na Mahakama ya Mwanzo wilayani hapo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment