Je! Hii ni ishara kutoka kwa Mungu? Sababu amini usiamini saa kadhaa
baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kuwa atajiuzulu radi kubwa ilipiga
kwenye kanisa la St Peter’s Basilica.
Papa Benedict aliwashtua mabilioni ya waumini wa kanisa katoliki duniani kwa kutangaza kuwa atajiuzulu mwishoni mwa mwezi huu.
Papa huyo mwenye miaka 85 amekuwa kiongozi wa kanisa hilo tangu mwaka 2005.
Papa huyo mwenye miaka 85 amekuwa kiongozi wa kanisa hilo tangu mwaka 2005.
0 comments:
Post a Comment