Taarifa za kuaminika zilizorushwa na Radio Wapo katika
kipindi chake cha patapata leo asubuhi, ni kwamba watu wasiojulikana
wamelivamia kanisa moja huko Zanzibar na kulirushia kitu kama bomu
kilicholipuka moto japo majirani waliamka na kuuzima moto huo kabla
kuleta madhara makubwa.
Tukio hilo limejitokeza leo Alfajiri.Hakuna chombo cha dola kilichofika eneo hilo hadi mida hii....
Tukio hilo liliambatana na vipeperushi vinavyodai kuwa na Bado...!!!
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment