INASEMEKANA kuwa kimwana anayetesa kwenye filamu na muziki Shilole na
Ommy Dimpoz, wapo katika mahusiano ya chini chini na hawataki kuyaweka
wazi kwa kuogopa midomo ya watu.
Chanzo kilicho karibu na msanii
Shilole
kilitoa fununu ya ishu hiyo kwa kudai kuwa wasanii hao mara nyingi
wamekuwa wakikutana nyakati za usiku na awali kabisa walikuwa kama
marafiki lakini kadri siku zilivyokuwa zinasonga mbele ukaribu
wao uliongezeka na kuanzisha mahusiano.
Mpekuzi huyo alidai kuwa hakuna mtu anayejua wasanii hao kama wana
mahusiano, kwani wanafanya siri kwa kuogopa vyombo vya habari na hata
wanapotaka kuonana huwa wanatumia...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment