TAMKO LA DIAMOND KUHUSU MGANGA WAKE Unknown - 5:33 AM NEWS Edit Naweza kusema kwamba mwaka huu kwa Diamond utakuwa kama ni wa msala juzi juz tulisikia kwamba aliletewa fujo katika show yake iliyofanyika ndani ya Maisha Club.Leo asubuhi baada ya magazeti ya siku kutoa vinjwa vingi vya habari vilikuwa vikisema kwamba Mganga wa Diamond amejitokeza na anatokea maeneo ya Magomeni "Ustadhi Yahya Michael"sisi kama team nzima ya Fetty The Best baada ya kusikilia habari kama hizi tuliamua kumpigia simu Diamond na akasema kwamba hamfahamu huyo mganga na wala hajiweki katika mambo ya kishirikina ni uongo mtupu"alisema Diamond.Hili ndiyo gazeti ambalo limechukua nafasi kubwa ya story kati ya diamond na mganga wake Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment