KWETU MO

  • Home
  • Business
    • Fashion
    • Fashion1
    • Fashion2
  • Fashion
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
  • Games
  • Technology
  • Download This Template
Home / NEWS / T.I.D AUPONDA UCHAWI WA DIAMOND

T.I.D AUPONDA UCHAWI WA DIAMOND

Unknown - 10:23 PM NEWS Edit

Mnyama TID amefunguka kuizungumzia ‘indirectly’ scandal inayomzunguka hitmaker wa Kesho, Diamond ya kupata mafanikio kwa kutumimia waganga wa kienyeji.

Kupitia Twitter Top in Dar ambaye jina lake halisi ni Khalid Mohamed alitweet kwa utani akisema, “ I really want to meet a witch doctor who can make me win big brother money ntatoa percentage we go thru a contract,Yupo?!


Tuliamua kumuuliza kama anamaanisha alichokiandika ambapo alijibu, “ am kidin mate I just heard some of them were making foolish artist look big ndo maana I make fool out it.”


Akijibu swali kama anaamini katika uchawi ama kama unaweza kumsaidia msanii asiye na kipaji afanikiwe, TID alisema, “I don’t mean nobody all I know is all this mathaf**z they don’t have talent all they have is witchcravity,huh.”

Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

RELATED POSTS

0 comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments ( Atom )

Popular Posts

  • Rihanna diamonds lyrics
    Shine bright like a diamond Shine bright like a diamond Find light in the beautiful sea I choose to be happy You and I, you and I We...
  • Queen Darleen na Diamond kuja na ngoma ya pamoja?
    Ukikutana tu na picha hizi kwa mara ya kwanza, lazima kitakachokujia kichwani ni collable ya wawili hawa ambao ni ndugu, Queen Darleen n...
  • Loboko:Colonel Mustapha: Huddah ameleta shida na kutaka sauti zake zifutwe baada ya kuona picha yangu na msichana mwingie
    Ile single iliyokuwa ikisubiriwa sana hasa baada ya scandle kadhaa kutokea kwa Msanii Colonel Mustapha na hasa baada ya wao kujitangaza ...
  • Q Chief : "Mwambie TID aache kuvuta unga watu wote tushaacha sasa hivi..Tell him to do music not to talk about me"
     Kama ni mfatiliaji wa kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds Tv, utakuwa umekutana na interview ya T.I.D  a.k.a Myama a.k.a Mzee Warioba akiji...
  • izzo B ft Belle 9
  • Mjadala wa kwanza wa urais Kenya
    Mjadala wa kwanza kati ya wagombea wa urais kuwahi kufanyika Kenya ulifanyika Jumatatu usiku kati ya wagombea 8 wanaowania wadhifa huo....
  • Justin Bieber apost sexy video Instagram akiwa na Selena Gomes
    Kinachoonyesha kama ni kuthibitisha kuwa bado anammiliki mwanamziki mwenye miaka 21 Selena Gomes, Justine Beiber amepost video inayowao...
  • Stamina ft fid Q - (wazo la leo)
    SONG;ALISEMA ARTIST;STAMINA FT JUX STUDIO;SNAP RECORDS PRODUCER;KEVY SONG WRITER;STAMINA&JUX INTRO;IS moro t...
  • ALICHOKISEMA NEY BAADA YA NIKKI MBISHI KUIMBA WIMBO UNAOITWA NEY WA MITEGO
    Rapper na hitmaker wa ‘Nasema Nao’ Ney wa Mitego ameimbia‘exclusively’ Bongo5 kuwa hana mpango wa kumjibu Nikki Mbishi aliyeandika wimbo...
  • 2013 - police Day
Copyright © 2016 KWETU MO
Created By Boyskillz Mtanzania