Linah Sanga amezikanush
ripoti zilizosambazwa leo kuwa amebakwa na
rapper Kimbunga na kudai kuwa ameshangazwa mno na taarifa hizo.
Taarifa hizo zimeanza kusambazwa leo
mchana baada ya akaunti ya Facebook inayoonekana kuwa ya rapper Kalapina
yenye jina ‘KalApina Kikosi Cha Mizinga’ kuandika:
“Mtoto kimbunga amechamba ana leta usela
mavi mambo ya kizamani hivi yupo chini ya ulinzi osterbay police kwa
kosa la kumbaka msanii lina.”
Baada ya Linah kutafutwa kuhusiana na taarifa hizo akafunguka namna hii
"Kiukweli sijapenda, yaani bora mtu anizushie kitu kingine chochote
lakini si suala kama hilo hapo, si suala zuri,” amesema Linah.
Amesema jana usiku alitoka na mpenzi wake kwenda kwenye sinema na wakarejea nyumbani...
0 comments:
Post a Comment